Kitabu hiki , Mfumo wa Jua Katika Maisha Yetu, kinampatia mtoto maarifa ya msingi kuhusu anga kwa lugha nyepesi. Pamoja na kupata maarifa, madhumuni ya maudhui ni kumwezesha mtoto kuanza kuelewa yeye yuko sehemu gani ya sayari Dunia, na anahusiana vipi na Mfumo wa Jua..