Nuru ya Bhoke

TSH 10000.00 /=
Author:Shaban K Wambura
Year Published: 2001
ISBN:9789987521838

Bhoke ,msichana jasiri,ana kiu ya elimu.Baba yake,Mzee Ghesimba,ana kiu ya mali nyingi na wake wengi.Mzee Ghesimba yuko na wenzake;akina Makiri,Mwita na Machotta. Hadithi inahusu umuhimu wa wasichana kuwa na lengo thabiti na juhudi kubwa wanaposaka elimu yao. Inaonyesha kwamba juhudi ya msichana inaweza ikashinda vizingiti vyote,ikiwemo wazazi wanaogeuza binti zao kuwa vitega uchumi kwa kuwaoza mapema ili wapate mali. Pata Nakala yako Sasa..

Similar Fiction Books

Sale product image

Parched Earth

TSH: 1200.00

Sale product image
Sale product image

Marimba ya Majaliwa

TSH: 12000.00

Sale product image

Run Free

TSH: 10000.00

Sale product image

Mwendo

TSH: 10000.00

Sale product image

The Prisoner

TSH: 10000.00

Sale product image

Pambazuko Gizani

TSH: 7000.00

Sale product image

Mpe Maneno Yake

TSH: 10000.00

Sale product image

Nuru ya Bhoke

TSH: 10000.00

Sale product image
Sale product image