Kamusi ya Kiswahili Kichina

TSH 25000.00 /=
Author:Rosemary B Chambi
Year Published: 2020
ISBN:-9789987735730

KAMUSI YA KISWAHILI-KICHINA ni kamusi mpya ya kipekee mahususi kwa watu wanaojifunza na kutumia lugha ya Kiswahili na Kichina. Kamusi hii imepangwa katika mpangilio mzuri unaomuwezesha mtumiaji wa Kiswahili na Kichina kuitumia vizuri na kwa urahisi. Sehemu ya Kwanza; Kiswahili- Kichina, Sehemu ya Pili; Kichina- Kiswahili na Sehemu ya Tatu; Misamiati ya Kiswahili- Kichina - Matamshi. Sehemu zote tatu zina maneno na misamiati yenye vipengele vilivyopangiliwa vizuri kumwezesha msomaji kutumia kamusi hii vizuri hatua kwa hatua . Kamusi hii ya Kiswahili – Kichina ni muhimu sana katika maendeleo ya lugha ya Kiswahili na Biashara. Ni sehemu ya uthibitisho kwamba lugha yetu ya Kiswahili ni lugha pevu na endelevu na yenye uwezo wa kujenga na kuelezea misamiati mbalimbali kwa lugha mbalimbali katika kufanikisha lengo la mawasiliano kwa kuunganisha watu katika nyanja mbalimbali. Hivyo Kamusi hii itakuwa na faida kubwa kwa wanafunzi , wasomi, wafanyabiashara na watafiti wa Tanzania na China. Ni kamusi ya aina yake, Pata nakala yako sasa. 中文-斯瓦希里语词典是一本独特的新词典,专用于学习和使用斯瓦希里语与中文的人群。本词典编排条理清新,斯瓦希里语和中文用户均可有效、轻松地使用。第一部分:斯瓦希里语-中文;第二部分:中文-斯瓦希里语;第三部分:斯瓦希里语-汉语词汇-发音。三个部分皆包含具有良好结构特征的单词和词汇,使读者能够逐步使用该词典。 斯瓦希里语-中文词典对于斯瓦希里语的发展和商业发展至关重要。它证明了我们的斯瓦希里语是一门强大且可持续的语种,能够用不同的语言创造和表达各种词汇,从而通过联系不同领域的人们来达到交流的目的。因此,本词典将对坦桑尼亚和中国的学生、学者、商人和研究人员大有裨益。 像这样的词典,您值得拥有一本!.