Mpe Maneno Yake ni mkusanyiko wa visa vilivyosibu na kuibuka sehemu mbalimbali alizoishi na kusafiri katika kipindi cha miaka 30 iliyopoita.Ndani ya ucheshi na kejeli zilizosheheni katika maandishi ya Macha,yamejiificha masuala muhimu ya kijamii,hasa yale yanayowakumba watu wa hali duni.Visa vyake vinavunja mbavu,vinasisimua na wakati huohuo vinaumiza kichwa..