Anza Kuandika

TSH 6000.00 /=
Author:ELIESHI LEMA
Year Published: 2019
ISBN:9799987735631

Anza Kuandika Awali na Darasa la Kwanza:Andika kwa Umahiri ni mfulilizo wa vitabu vilivyoandikwa mahususi kwa Madarasa ya Awali,darasa la Kwanza na Darasa la Pili.Vitabu hivi vimeandikwa kwa kuzingatia muhtasari Mpya unaosititiza katika kuandika,kusoma na kuhesabu,Andika kwa Umahiri,ina Vitabu vifuatavyo,Andika Ugundue,Anza Kuandika na Kuumba Herufi na Maneno.Vyote vina maarifa ya kumwezesha mwanafunzi kuweza kuandika kwa Umahiri kwa Ngazi Husika pata nakala yako sasa ..

Similar Pre School Titles Reader