Wanyama Wenye Uti wa Mgongo ni kitabu kilichojaa maarifa na ujuzi kuhusu makundi ya wanyama wajulikanao kama Mamalia,Reptilia,Amfibia,Samaki na Ndege. Wanajulikana kwa: • Kuwa na vichwa • Kuwa na milango ya fahamu na ubongo • Kuwa na uti wa mgongo • Kuwa na mfumo wa mifupa • Kuwa na mzunguko wa damu • Kuwa na jinsi..