Bwana Klaus Mayhofer kutoka Freising,Ujerumani ni mjukuu wa Padre Klaus wa White Fathers aliyefanyia kazi kanisa katoliki huko Bubako tangu mwaka 1812.Kalaus amefika Tanzania kutafuta ndugu zake,watoto wa Padre huyo baada ya kifo chake. Safari ya Klaus inatufunulia mengi kuhusu maana na heshima ya Kanisa Katoliki na vitendo vya Mapdre wanaolitumikia.Fuatilia kisa hiki..