Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi

TSH 30000.00 /=
Author:Zuhura Yunus
Year Published: 2021
ISBN:9789987735846

Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi ni kitabu cha pekee kabisa katika historia ya ushiriki wa wanawake kwenye harakati za Waafrika kujitawala, siyo kwa Zanzibar tu, bali kwa Tanzania nzima na Afrika kwa ujumla. Ushiriki wa Biubwa katika Mapinduzi ya Zanzibar haukulenga kupata cheo wala sifa, bali kutoa mchango wake muhimu katika kuwezesha Mapinduzi, jambo ambalo ni nadra sana katika siasa. Biubwa ametoa mfano wa uwanamapinduzi unaotakiwa kuigwa na wengi, hasa vijana wa jinsia zote wanaopenda nchi yao, ili kuhakikisha kuwa nchi yetu na Afrika yetu inasonga mbele..

Similar Tertiary Books

Sale product image

The Ways of Tribe

TSH: 38000.00