Maisha anaishi Maisha katika familia yenye upendo na amani, ana bidi ya kazi, nyumbani na shuleni. Maisha ameanza kupata dadili za kukukua. Changamoto mpya zinamkabili. Anakutana na Freshi anayekuwa Rafiki yake. Freshi anamfunulia Maisha uwanja wa maarifa juu ya stadi za Maisha kuhusu kujipenda..