Freshi na Maisha 4 Jithamini

TSH 6500.00 /=
Author:ELIESHI LEMA
Year Published: 2004
ISBN:9987622674

Maisha amefika Darasa la Saba. Amekua kimwili na akili imepevuka kiasi. Ameanza kujitadhimini na kutambua mazingira tofauti yanayomzunguka Pamoja na changamoto zake. Maisha amegundua kwamba wazazi ni wazito katika kuongea masuala ya ngono na vijana wao. Hali hii imewaweka vijana njia panda, huku jamii ikiwa inajiundia ngao ya ukimya kuhusu masuala nyeti kama haya. Vijana wanapaswa wafanye nini ili kuwafanya wazazi wachukue wajibu wa kuwaokoa vijana wao? Je, Maisha amejizatiti vya kutosha kukabili changamoto hizi? Kujithamini kutamfaa vipi ?.

Similar Children Kiswahili Titles Reader

Sale product image
Sale product image

Ndoto ya Upendo

TSH: 65000.00

Sale product image

Cloud/ Mawingu

TSH: 6000.00

Sale product image

Madhila ya Faidha

TSH: 5000.00

Sale product image

Sosu

TSH: 6000.00

Sale product image

Wimbo wa Tizo

TSH: 5000.00

Sale product image

Maji Bila Ukomo

TSH: 6500.00

Sale product image

Nataka Keki Yangu

TSH: 5000.00

Sale product image

Redio

TSH: 5000.00

Sale product image
Sale product image
Sale product image

Nipe Jina

TSH: 6000.00

Sale product image

Jongoo na Tandu

TSH: 5000.00

Sale product image

Bata Wetu

TSH: 5000.00

Sale product image

Jamila na Kamali

TSH: 5000.00

Sale product image

Televisheni

TSH: 4000.00

Sale product image
Sale product image

Kunganyira

TSH: 4000.00

Sale product image

Godoro la Ajabu

TSH: 5000.00

Sale product image

Wekundu Angani

TSH: 5000.00

Sale product image

Utenzi wa Kunguru

TSH: 5000.00

Sale product image
Sale product image

Utenzi wa Kunguru

TSH: 5000.00

Sale product image

Poki

TSH: 5000.00

Sale product image

Almasi na Jitu

TSH: 5000.00

Sale product image

Mkate Mtamu

TSH: 65000.00