Mwendo

TSH 10000.00 /=
Author:ELIESHI LEMA
Year Published: 2023
ISBN:9987622038

Mwendo Rafiki Mpenzi Hamiata Je hujambo? Mambo ya huku Mtwara ni Mengi mno.Siwezi kukueleza yote kwenye barua hii.Halafu niliandika kwa Haraka shangazi asije akanikamata.Karatasi yenyewe nimeichomoa kwenye daftari la watu. Sasa sikiliza kwanza.Usiwe na wasiwasi.Yale madhara yaliyomtokea msichana wa Moshi Vijijini hayatanitokea mimi,kwa hiyo tuliza roho yako mpenzi.Shangazi kaniambia kwamba kutahiri mtoto wa kike ni kuvunja nguvu hizo na kuzinyima uhuru.Kwa hiyo shangazi kasema kwamba ni lazima sisi wasichana tukatae katu kufanyiwa hivyo.He! rafiki,nitakueleza mengi tutakapoonana. Wako Rafiki akupendaye sana Felisia. Fuatilia kisa hiki cha kusisimua katika hadithi ya Mwendo..

Similar Fiction Books

Sale product image

Parched Earth

TSH: 1200.00

Sale product image
Sale product image

Marimba ya Majaliwa

TSH: 12000.00

Sale product image

Run Free

TSH: 10000.00

Sale product image

Mwendo

TSH: 10000.00

Sale product image

The Prisoner

TSH: 10000.00

Sale product image

Pambazuko Gizani

TSH: 7000.00

Sale product image

Mpe Maneno Yake

TSH: 10000.00

Sale product image

Nuru ya Bhoke

TSH: 10000.00

Sale product image
Sale product image