Marimba ya Majaliwa

TSH 12000.00 /=
Author:Edwin Semzaba
Year Published: 2011
ISBN:9789987411481

Je, umeshawahi kusafiri kwa kutumia ungo au fagio? Umeshapanda mgongoni mwa nguva au kutalii kwenye tumbo la nyangumi? Hivi ni baadhi tu ya visa alivyofanya Majaliwa akiwa katika safari yake ya kuzunguka Tanzania nzima akisaka marimba yake ya nyuzi ishirini. Alianzia Mafia, akaenda Zanzibar, Tanga, Moshi,Arusha, Iringa, Mwanza, Kigoma na miji mingine mingi. Na kongoti, bingwa wa Taifa wa Marimba akimchenga kila mara, huku akingangania Marimba ya Majaliwa ili amzuie kushinda na ashinde yeye. Na bila Marimba ya nyuzi ishirini, hakuna ushindi. Je, Majaliwa atamkamata Kongoti? Ungana na Majaliwa katika Safari hii ya kusisimua, ukutane na Bibi yake anayeweza kuwa katika umbo lolote, jinsi anavyochenga na kuvisumbua vibwengo huko angani usiku wa manane wakiwa na Majaliwa kwenye ungo. Hatasahau hadithi hii na hutamsahau Majaliwa na safari hii ya kusaka marimba yake. Hadithi ya Marimba ya Majaliwa ilishinda katika shindano la hadithi za kusisimua, mwaka 2007 lililofadhiliwa na Sida na kusimamiwa na Mradi wa Vitabu vya Watoto, Tanzania..

Similar Fiction Books

Sale product image

Parched Earth

TSH: 1200.00

Sale product image
Sale product image

Marimba ya Majaliwa

TSH: 12000.00

Sale product image

Run Free

TSH: 10000.00

Sale product image

Mwendo

TSH: 10000.00

Sale product image

The Prisoner

TSH: 10000.00

Sale product image

Pambazuko Gizani

TSH: 7000.00

Sale product image

Mpe Maneno Yake

TSH: 10000.00

Sale product image

Nuru ya Bhoke

TSH: 10000.00

Sale product image
Sale product image