Asubuhi na Mapema, dunia bado imelala. Jua anachomoza taratibu kutoka Mashariki. Anajiuliza kwa shauku, "Leo nitamwangazia nani nikiwa safarini kuelekea Magharibi ?"...... Safari ya Jua ni kitabu cha hadithi chanye maarifa yanayochochea udadisi kwa mtoto kuhusu Jua na mambo yanayolizunguka kila siku. Ni kitabu cha aina yake, pata nakala yako sasa..