Sale

Tusome Abachaa

TSH 7000.00 /=
Author:Sikudhani Jalala
Year Published: 2024
ISBN:9789987735907
Availability: 9 left in stock

Kitabu cha Tusome Abachaa kinampa mtoto stadi ya kuanza kusoma. Kila herufi ina picha inayomsaidia mtoto kufahamu matamshi ya herufi hiyo. Mwandishi ametumia picha za matunda na vitu katika mazingira yanayomzunguka mtoto ili kuwezesha uelewa wa matamshi. Maneno Mengine ya kusoma kwa sauti yameongezwa ili kuimarisha uzoefu wa kusoma. Mtoto anaweza kusoma peke yake, katika vikundi vidogo na akiwa na mzazi. Mtoto anapomaliza kusoma kitabu hiki, atakuwa amesoma maneno zaidi ya 100 na sentensi fupi zaidi ya 30..

Similar Books

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00