Sale

Nyamaza Ndege wa Amani

TSH 5000.00 /=
Author:Elieshi Lema
Year Published: 2005
ISBN:0521668921
Availability: 9 left in stock

Nyamanza Ndege wa Amani: Shile alivutiwa sana na jamii ya wanyama wa mwituni.Alipenda kuwasikiliza wakiongea na kucheka na kusimuliana hadithi.Kwani Shile alikuwa mtoto wa ajabu.Aliweza kuzungumza na wanyama na ndege.Aliweza kusikia sauti ndogo sana za vipepeo na sisimizi na hata majani madogo yanaporefuka ;Wanyama wakubwa walimpenda na wanyama wadogo pia.Hata Nyamaza,ndege wa Amani alimpenda Shile.Nyamaza aliwafurahisha viumbe wote mbugani kwa sauti ya nyimbo zake tamu..

Similar Books

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00

Sale -11% product image

Batin crofessor pampden

$110.00$130.00