Title Cover Description Author
Ujenzi wa Imani ya Jamii na Amani Tanzania Kitabuhiki kinajumuisha makala kumi na sita ambazo ziliwasilishwakatika kongamano la kumi na mbili la hali ya siasa Tanzania. Mada zinajadili kwa kina jukumu na mikakati ya kuboresha amani na imani ya jamii, nadharia ya ujenzi wa amani, na uzoefu wa asasi mbalimbali katika ujenzi wa amani na imani nchini. Mwandishi/Author: REDET
ISBN: 9987 411 13 4
Bei/Price: 10,000/=
Pambazuko Gizani Ni hadithi inayogusa mioyo ya watu wengi wakiwemo waumini. Hadithi inaelezea matendo ya kuhuzunisha y a n a y o f a n y w a n a watumishi wa kanisa waliopewa majukumu ya kuongoza maisha ya kiroho ya watu , lakini badala yake wameyasaliti. Mwandishi: Karumuna Mboneko
ISBN: 9987 411 04 5
Bei: 5,000 /=
Bahati Is a young man from a poor family.Like many young men today, he had a dream of becoming rich. Inspired by success stories of other young men who had made it abroad Bahati leaves the country to try his luck abroad. Unfortunately he gets lured into a drug racket and ends up in jail. While in jail, he feels a pang of guilty and pain for having let down his mother who counted on him to make it in life through honesty and hard work. Finally Bahati gets a second chance to start again.. Mwandishi/Author: Ida Hadjivayanis
Bei/Price: 10,000/=
Mpe Maneno Yake Ni mkusanyiko wa visa vilivyosibu na kuibuka sehemu mbalimbali alizoishi mwandishi na kusafiri na katika kipindicha miaka 30 iliyopita. Ndani ya ucheshi na kejeli zilizosheheni katika maandishi ya Macha, yamejifi cha masuala muhimu ya kijamii, hasa yale yanayowakumba watu wa hali duni. Visa vyake vinavunja mbavu, vinasisimua na wakati huo huo vinaumiza kichwa. Mwandishi/Author: Freddy Macha
ISBN: 9987 411 32 0
Bei/Price: 7,000/=
Makuadi wa Soko Huria Ni hadithi ya Kihistoria yenye ukweli waleo. Inaweka bayana uozo na udhalimu uliojifi cha katika mfumo wa sokohuria: rushwa,tamaa ya pesa na nguvu za kiuchumi, ubinafsi na ukandamizaji. Pia Makuadi wa Soko Huria ni hadithi ya matumaini inayotukumbusha kwamba utu wa binadamu hauvunjwi kwa pesa wala mabavu. Mwandishi/Author: Chachage Seithy Chachage
ISBN: 9987 622 45 3
Bei/Price: 15,000/=
Rai ya Jenerali Ulimwengu Upekee wa makala zilizomo katika kitabu hiki uko katika medani kadhaa: kwanza, mwenendo wetu wa kujitawala na kuendesha masuala ya kitaifa hivi sasa, unayafanya masuala yaliyoibuliwa na kufanyiwa uchambuzi kuwa na umuhimu ule ule uliokuwepo miaka hiyo. Pili,mengi yaliyoandikwa yalilenga uchaguzi mkuu wa 1995, ikiwa ni pamoja na kuweka ajenda ya uchaguzi na mambo ya kuzingatia ili tupate viongozi wenye uchungu na nchi yao na walio tayari ‘kufa kidogo’ kwa faida ya wananchi wote…bado hayo ni masuala ya ‘kufa na kupona’ kwa watanzania leo hii Mwandishi/Author: Jenerali Ulimwengu
ISBN: 9987 4111 16 9
Bei/Price: 5,000/=
SITAISAHAU MV BUKOBA Ni kitabu kinachoelezea hali halisi ilivyokuwa ndani ya meli ya MV Bukoba kabla na baada ya ajali. Nyaisa Simango ni miongoni mwa abiria wachache tu walionusurika katika ajali hiyo. Anaelezea safari yake tangu mwanzo akitoka Dar es salaam kwa treni hadi Mwanza, na kutoka Mwanza kwenda Bukoba, na safari yake ya kurudi kutoka Bukoba na meli hiyo hadi ilipoishia kwa kupinduka na kuzama kiasi cha maili kumi hivi kabla ya kufika bandarini Mwanza. Mwandishi/Author: Nyaisanga Simango
ISBN: 978-9987-521-43-2
Bei/Price: 12,000/=
Ijue Biashara 1 Biashara ni nini? Faida na hasara ni nini? Nafsi ya biashara ni nini? Kwanini thamani ya biashara yako ni lazima ipimike kwa kipimo cha fedha? Je, mawazo mazuri ya biashara yanapatikanaje? Haya na maswali mengine mengi yanajibiwa katika kitabu:Kuanzisha Biashara ambacho ni cha kwanza katika Mfululizo wa vitabu vya IJUE BIASHARA vinavyotolewa na E&D Vision Publishing Ltd. Vitabu hivi vimeandikwa kwa madhumuni ya kuwapa elimu ya biashara ya msingi wajasiriamali wadogo na wale ambao hawajaanza biashara lakini wanapanga kufanya biashara. Mwandishi/Author: Aleerwa N. Lema
ISBN: 978-9987-521-48-7
Bei/Price: 4,500/=
Ijue Biashara 2 Tutafakari misemo hii ya Kiswahili: Mali bila daftari hupotea bila habari. Biashara ni asubuhi hesabu jioni. Hii misemo miwili inatukumbusha na kutusihi kuweka kumbukumbu za maamala za biashara, na kasha kuzitafakari baada ya mdua. Hivyo, ni vema hesabu za biashara zikawekwa kwa namna ambayo mwenye biashara au mtu mwingine yeyote ataweza kuzipata. Mwandishi/Author: Aleerwa N. Lema
ISBN: 978-9987-521-48-7
Bei/Price: 4,500/=
Nyerere on Education II Kitabu hiki ni juzuu ya pili ya mkusanyiko wa maandiko ya Mwalimu kuhusu elimu. Mkusanyikohuu unajumuisha maandiko yake kati ya 1961 na 1997. Kwake Mwalimu elimu haiwezi kutenganishwa na maendeleo. Lazima ilenge mahitaji na changamoto ya kila siku ya watu. Editors: Elieshi Lema,Issa Omari,Rakesh Rajani
Publisher: Hakielimu/ E&D
ISBN: 9987 423 16 7
Bei/Price: 10,000/=
J a n g a S u g u L a Wazawa Ushirikina ni janga sugu katika jamii za Kiafrika. Ushirikina unaangamiza watu na unarudisha maendeleo ya jamii zetu nyuma. Tuchukue hatua gani itakayouangamiza na kuukomesha? Mwandishi/Author: G. Ruhumbika
ISBN: 9987 622 31 3
Bei/Price: 10,000/=
Pesa za Mawe Ni hadithi inayotufungulia pazia kutuonyesha yanayoweza kuwa yanatokea hivi sasa hapa Tanzania. Hadithi inatuchorea barabara ya biashara haramu ya madini inayovuka mipaka ya nchi, kanda na hatimaye kufi ka katika masoko makubwa ya dunia. Hadithi inatuonyesha jinsi maliasili yetu ya madini inavyoweza kuishia katika mikono ya watu wachache mno, watu ambao kwao ‘pesa’ ni imani, na ‘ufisadi’ ni itikadi. Mwandishi/Author: Oscar Ulomi
SBN 9987 411 38 X
Bei/price 5,000/=