Title Cover Description Author
A Man from Tanga Is a graded reader on HIV/AIDS. The author uses simple language to explain some facts about HIV to children who are in great need to know about HIV/AIDS. The book has enough knowledge and explanation on how a person can be infected, how HIV can be spread from one person to another, how a person can live with HIV/AIDS without fear. It also shows what precautions to take when caring for an HIV infected person, bearing in mind that most affected people receive home care. Parents and teachers can discuss HIV/AIDS openly with children. Writer: Elieshi Lema
ISBN: 978-9987-521-01-2br> Price: 4,500/=br>
Sayansi kwa Shule za Msingi Wanyama na Wadudu Kitabu kinawasaidia wanafunzi kupanua welewa wao wa mazingira ya wanyama na wadudu na kuonyesha jinsi viumbe hai wanavyotegemeana.Kinafafanua sifa, tabia, uzazi na maumbile ya wanyama wenye uti wa mgongo pamoja na hatua za ukuaji wa wadudu. Mwandishi: Bartholomew Meena
ISBN: 9987 411 03 7
Bei: 3,000/=
Tegua Vitendawili kwa Picha Vitendawili 60 vilivyochaguliwa kwa makini kutumika kama chemsha bongo na kichocheo cha lugha. Msomaji anatakiwa kubaini maana ya kila kitendawili kwa msaada wa picha.Majibu yamewekwa mwisho wa kitabu ili mtoto aweze kujisahihisha mwenyewe Mwandishi: Janet Mgomba
ISBN: 9987 622 55 0
Bei: 3,500/=
Kona ya Kujifunzia Sayansi Hiki ni kitabu muhimu sana kwa kujifunzia Sayansi. Ni kitabu kinachomwongoza mwanafunzi njia ya kuelewa dhana za kisayansi kwa kufanya mazoezi. Vifaa vilivyotumika vinapatikana katika mazingira ya shule za mijini na vijijini. Mwandishi: Bartholomew A. Meena
ISBN: 9987 622 81 X
Bei: 4,000/=
Dinosaria wa Tendaguru Kitabu hiki kinahusu Dinosaria,wanyama walioishi miaka milioni nyingi iliyopita. Mabaki ya wanyama hawa wa ajabu yaligunduliwa katika kijiji cha Tendaguru, mkoani Lindi, wakati wa utawala wa Wajerumani. Katika kitabu hiki mzimu wa Mzee Buheti unasafi ri kurudi miaka milioni mia moja nyuma na kuona jinsi Dinosaria walivyoishi na kisha kutoweka. Mwandishi: Cassin Magori na Charles Saanane
ISBN: 9987 6622 06 2
Bei: 3,500/=
Sayansi na Teknolojia Katika Maisha Sayansi na Teknolojia Katika Maisha 2 -Televisheni: Hiki kitabu cha pili katika mfululizo wa vitabu vya sayansi na teknolojia katika maisha kinachoelezea jinsi televisheni inavyo fanya kazi. Redio Televisheni Mwandishi: Abeid H. Sakara
ISBN: 9987 8849 9 7
Bei: 2,500/=
Dar es Salaam kwa Baba Mama na watoto wanaishi kijijini Farka. Baba anaishi Dar es Salaam. Nini kinatokea wanapokwenda kumwona baba? Ongozana na Amina katika safari yao ya kwanza kutoka kijijini kwenda jijini. Mwandishi Sue Herper na Mima Lawrence
Mfasiri M. M. Mulokozi
Bei 3,500/=
Godoro la Ajabu Umeisha wahi kutalii angani, juu ya godoro unalolalia? Farida alifanya hivyo huku nyota zikimkonyeza.Soma ujionee maajabu hayo. Mwandishi: Elizabeth Littlewort
Mfasiri: Demere Kitunga
Bei: 3,500/=
Jifunze Sayansi kwa Vitendo Darasa V - VII: Kitabu kina majaribio mengi yanaonyesha matumizi ya sayansi katika maisha ya kila siku. Ni rahisi kuyafanya, na yanatumia vifaa ambavyo vinapatikana katika mazingira ya shule. Kinaendana na Mtaala wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Mwandishi: Bartholomew Meena
ISBN: 9987 622 68 2
Bei: 4,000/=
Sayansi na Teknolojia Katika Maisha 1 - Redio Hiki ni kitabu cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vya Sayansi na Teknolojia katika maisha. Kinaelezea jinsi redio inavyofanya kazi. Pia kinaelekeza kwa vitendo na picha namna ya kutengeneza redio rahisi. Mwandishi: Abeid H. Sakara
ISBN: 9987 88492 X
Bei: 2,000/=
Mama Mbeku Mama Mbeku ni msanii. Watoto ni wasanii pia, lakini hawajui watafanya maajabu gani watakapoanza kuchezea rangi. Mwandishi: Dianne Hofmeyr
Mfasiri: Amandina Lihamba
Bei: 3,500/=
Majigambo ya Protini na Wenzake Majigambo ya kuvutia kuhusu umuhimu wa protini, madini,wanga na mafuta katika mwili.Pia madhara yatokanayo na kukosa vitu hivyo katika mwili. Mwandishi: Ali Mwalim Rashid
ISBN: 9987 622 92 5
Bei: 3,500/=
Mkate Mtamu Maya na Modi wanaishi kijijini. Wanatamani maisha mazuri yenye neema na mafanikio. Wafanye nini ili wafanikiwe? Soma hadithi hii ya stadi za maisha kisha ujiulize, “Je mimi?” Mwandishi: Elieshi Lema
ISBN: 9987-411-22-3
Bei: 3,000/=
Jibini Tamu Je, waijua Jibini? Jibini tamu, si kwa watoto tu, hata kwa panya na sisimizi. Kuna wakubwa na wadogo. Kuna wanaoshirikiana na kuna wabinafsi. Wote wanaitaka jibini. Nani ataipata? Mwandishi: Sue Hepker
Mfasiri: Harold Mhando
Bei: 3,500/
Nyamanza ndege wa Amani Ndege wa Amani ameibiwa. Huzuni imejaa nyikani. Nani mwenye ujasiri wa kutosha kumwokoa Nyamanza kutoka mikononi mwa zimwi? Hiki ni kisa cha ujasiri kinachosisimua. Mwandishi: Janinie Canrneilse
Mfasiri: Elieshi Lema
Bei: 3,500/=
Clouds /Mawingu Ni hadithi ya picha kuhusu safari za mawingu matatu. Katika safari yao, yaliweza kujifunza mambo mengi na kuishi katika mazingira mbalimbali. Hadithi imeandikwa kwa kiingereza na Kiswahili. Mwandishi: Nadir Tharani
Mfasiri: Demera Kitunga
ISBN: 9987 622 54 2
Bei: 3,000/=
Wimbo wa Tizo Tizo ni mtoto wa mitaani!Mtaani ndio kwao. Ni mdogo, ni mpweke, ila ana sauti kama chiriku. Mashindano ya muziki yanapofanyika, Tizo anaibuka mshindi.9 Mwandishi: Christophe Hodson
Mfasiri: Demere Kitunga
Bei: 3,500/=
Nataka Keki yangu Hii ni hadithi inayoelezea madhara ya uroho kwa mtoto. Hadithi inajaribu kutoa maadili mema na kumfanya mtoto atambue kwamba ukarimu ni mzuri kuliko uroho. Mwandishi: Teddy Chacha
ISBN: 9987 622 71 2
Bei: 2,500/=
Nana Upepo Mwanana Umekwishapata kuona mchezo kati ya upepo na mtoto? Soma kisa cha Nana, Upepo Mwanana na Salma, watoto wa Tanga. Mwandishi: Sue Appley
Mfasiri: Amandina Lihamba.
Bei: 3,500/=