Makuadi wa Soko Huria

TSH 15000.00 /=
Author:Chachage Seithy L. Chachage
Year Published: 2005
ISBN:9789987521845

Makuadi wa Soko Huria ni hadithi ya Kihistoria yenye ukweli unaodhihirika leo.Inatoa taswira ya mapambano ya Watanzania katika kujipatia uhuru na amani ya kweli.Mapambano dhidi ya ukoloni na baadaye dhidi ya baadhi ya watu wao walioteka nyara uhuru wa wengi na kushirikiana na wageni kupora rasilimali ya nchi kwa kisingizio cha soko huria.Hadithi inaweka bayana uozo na udhalimu uliojificha katika mfumo wa soko huriatamaa ya pesa na nguvu za kiuchumi,ubinafsi na ukandamizaji.Pia ni hadithi ya matumaini.Inatuonyesha jinsi watu wasivyokubali kukandamizwa,wasivyokata tamaa.Makuadi wa Soko Huria inatukumbusha kwamba utu wa binadamu hauvunjwi kwa pesa wala kwa mabavu..

Similar Fiction Books

Sale product image

Parched Earth

TSH: 1200.00

Sale product image
Sale product image

Marimba ya Majaliwa

TSH: 12000.00

Sale product image

Run Free

TSH: 10000.00

Sale product image

Mwendo

TSH: 10000.00

Sale product image

The Prisoner

TSH: 10000.00

Sale product image

Pambazuko Gizani

TSH: 7000.00

Sale product image

Mpe Maneno Yake

TSH: 10000.00

Sale product image

Nuru ya Bhoke

TSH: 10000.00

Sale product image
Sale product image