Tufurahie Namba 2

TSH 4000.00 /=
Author:L.E. Lutashobya
Year Published: 2003
ISBN:9987622593

Tufurahie Namba 2 Kitabu kinamfundisha mtoto kuandika,kuhesabu na kuelewa namba kuanzia 0-9 kwa njia inayofurahisha na kusisimua akili ya mtoto. Hiki ni kitabu muhimu kinachomjengea mtoto upenzi wa hesabu..

Similar Pre School Titles Reader