Janga Sugu la Wazawa

TSH 8000.00 /=
Author:Gabriel Ruhumbika
Year Published: 2001
ISBN:9987622313

Hatimaye kila mahali kote nchini wananchi wakaogopa zaidi hilo janga sugu la jamii yao kuliko kitu kigine chochote hapa duniani.Kuliko radi na tetemeko la ardhi na mafuriko ya maji na maafa mengine ya asili.Kuliko magonjwa ya hatari kama ndui na tauni na kipindupindu na UKIMWI.Kuliko wanyama wakali wa porini.Kuliko majambazi na majizi yenye silaha.Kuliko hata vita.Hilo janga kuu na sugu la jamii ya mtu mweusi likawa tishio kubwa kwa uhai wa binadamu na usalama wake kote Tanzania kuliko hata mauaji ya halaiki,kwani sasa liliua halaiki kwa halaiki za watu wakati wote, "Lakini pia kila mmoja wao aliamini kwamba penye nia kuna njia.Na kwamba mradi vita inaendelea ushindi hatimaye utapatikana.Na alijua kwamba harakati za vita hiyo tayari zitamaanisha mwanzo wa jamii mpya".

Similar Fiction Books

Sale product image

Parched Earth

TSH: 1200.00

Sale product image
Sale product image

Marimba ya Majaliwa

TSH: 12000.00

Sale product image

Run Free

TSH: 10000.00

Sale product image

Mwendo

TSH: 10000.00

Sale product image

The Prisoner

TSH: 10000.00

Sale product image

Pambazuko Gizani

TSH: 7000.00

Sale product image

Mpe Maneno Yake

TSH: 10000.00

Sale product image

Nuru ya Bhoke

TSH: 10000.00

Sale product image
Sale product image