Almasi na Jitu Watu wa kijiji cha Gama walijawa na wasiwasi.Walikuwa wamepata habari kuwa kulikuwa na Jitu lafi,kubwa na nene mno lililoishi mbugani karibu na kijiji chao.Msichana mdogo alimasi alikosa raha alikuwa kilema alijua jitu likifika kijijini hataweza kukimbia.Fuatilia kisa hiki..