Farida ni binti mcheshi na Mtiifu, ila ana tatizo moja. Anakojoa Kitandani,Wenzake kila siku wanamvizia wacheze kindumbwendumbwe lakini mama huwazuia akisema:si kusudi lake,Leo ,mama amemnunulia Farida godoro jipya tena la kunesa!Farida anarukaruka kwa furaha.Fuatilia kisa hiki.