Majigambo ya Protini na Wenzake Tunasema Vitamini Protini na Madini Nayo Mafuta jueni Mwili watuhitajia. Pia Wanga na Sukari Tumeeleza vizuri Sasa usiwe msiri Vyakula vyetu tumia. Elimu Ipokeeni Vijana twawambieni Hapa tupo darasani Kwa elimu ya afia..