Ijue Biashara . Kuanzisha Biashara

TSH 7000.00 /=
Author:Aleerwa N. Lema
Year Published: 2010
ISBN:978998774312

Biashara ni nini? Faida na hasara ni nini ? Nafasi ya biashara ni nini ?Kwa nini thamani ya biashara yako ni lazima ipimike kwa kipimo cha fedha? Je,mawazo mazuri ya biashara yanapatikanaje? Haya na maswali mengine mengi yanajibiwa katika kitabu: Kuanzisha Biashara ambacho ni cha kwanza katika Mfululizo wa vitabu vya IJUE BIASHARA vinavyotolewa na E&D Vision Publishing Ltd.Vitabu hivi vimeandikwa kwa madhumuni ya kuwapa elimu ya biashara ya msingi wajasiriamali wadogo na wale ambao hawajaanza biashara lakini wanapanga kufanya biashara..

Similar Business Books